
SINGIDA BLACK STARS WAJA NA JAMBO HILI
PATRICK Aussems , Kocha Mkuu wa Singida Black Stars ameweka wazi kuwa bado wapo kwenye mbio za kuwania kombe la Ligi Kuu Bara 2024/25 licha ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Yanga kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa New Amaan ukisoma Singida Black Stars 0-1 Yanga. Ikumbukwe kwamba kombe la ligi mabingwa watetezi ni…