
ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA, MILOUD HAMDI ATEULIWA ISMAILY
Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga ya Tanzania, Miloud Hamdi (54), raia wa Algeria, ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Ismaily SC ya Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja, ukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi endapo pande zote zitakubaliana. Hamdi anajiunga na Ismaily akitokea Yanga , ambako aliandika historia ya…