
BEKI WA KAZI MLIGO ATAMBULISHWA SIMBA SC
KOCHA Fadlu Davids alipomuona kijana kwenye majukumu yake inaelezwa kuwa akawaambia mabosi wa Simba SC anahitaji saini ya Antony Mligo aliyekuwa ndani ya Namungo FC. Haya ni maandalizi kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ambapo Simba SC ilipishana na ubingwa msimu wa 2024/25 ulikwenda kwa watani zao wa jadi Yanga SC….