KAGERA SUGAR WAGAWANA POINTI NA MTIBWA SUGAR
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar v Kagera umekamilika kwa timu zote mbili kutoshana nguvu kwa kugawana pointi mojamoja. Ubao wa Uwanja wa Manungu umesoma Mtibwa Sugar 1-1 Kagera Sugar hivyo hakuna mbabe ambaye amepatikana kwa vigogo hawa wawili. Ni Mtibwa Sugar walianza kutupia dk 37 kupitia kwa George Chota ambaye alitumia…