
SALAH,MANE WAPO KWENYE ULE UTATU WA KAZI CHAFU
MOHAMED Salah, raia wa Misri anayekipiga ndani ya Liverpool anaongoza ule utatu wa kazi chafu za kuwatungua makipa katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp ambapo wengine wakorofi kwa kucheka na nyavu ni Sadio Mane na Roberto Firmino katika Ligi Kuu England. Nyota huyo ambaye ni mkali wa kucheka na nyavu kibindoni kwa…