
HAZARD AWEKWA RADA ZA CHELSEA
NYOTA wa Real Madrid, Eden Hazard ambaye mambo kwake yamekuwa magumu ndani ya kikosi hicho anatajwa kuingia kwenye rada za Newcastle pamoja na Chelsea. Nyota huyo hana furaha ndani ya Real Madrid kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara jambo ambalo limefanya ashindwe kuwa kwenye ubora ambao alikuwa nao alipokuwa akicheza ndani ya…