RONALDO NI MPINDUAJI MEZA, KOCHA AMZUNGUMZIA
MBELE ya mashabiki 72,279 Manchester United walipindua meza kibabe na kusepa na pointi tatu mazima katika mchezo ambao ulionekana kuwa mgumu kwao dakika 45 za mwanzo ila baada ya dakika 90 ubao ukasoma Manchester United 3-2 Atalanta katika mchezo wa UEFA Champions League na unawafanya wawe namba moja katika kundi F baada ya kufikisha pointi…