
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA JKT TANZANIA, CHAMA NDANI
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC ikiwa ni ligi namba nne kwa ubora, Yanga watakuwa kazini kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Kwenye kikosi cha kwanza kiungo Clatous Chama ambaye mchezo uliopita dhidi ya Ken Gold alianzia benchi leo Februari 10 ameanza kikosi cha kwanza. Kikosi kamili kipo namna hii:-…