
IJUMAA YA KUSEPA NA MKWANJA HII HAPA, KITAWAKA LIGUE 1, BUNDESLIGA LEO
Wikendi ndo hiyo inaenda kuanza, na Meridianbet wanakuuliza kuwa je umejiandaaje kuianza wikendi yako?. Je tayari umeshasuka jamvi lako la kukupatia maokoto? Tukianza na LIGUE 1 kule Ufaransa pia kuna mechi za kukata na shoka ambapo mechi ya mapema ni hii inayowakutanisha kati ya Nantes vs Brest huku tofauti yao ikiwa ni pointi 7 pekee,…