MPANZU WA SIMBA SC KWENYE RADA ZA WAARABU

INAELEZWA kuwa winga chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids ndani ya kikosi cha Simba SC, Ellie Mpanzu yupo kwenye rada za RS Berkane,Waarabu wa Morocco. Mpanzu ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa tegemeo katika kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye anga la kimataifa na kitaifa. Ndani ya ligi rekodi zinaonyesha kuwa alicheza…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE TAMBO KAMA ZOTE

KUELEKEA Singida Big Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 2, Uwanja wa Liti uongozi wa Singida Fountain Gate umetambia jambo lao kuwa litakuwa na upekee kwenye kila hatua. Ni burudani kwa mashabiki wa Singida Fountain Gate ambapo wanakwenda kutambulisha kikosi rasmi kwa msimu wa 2023/24 na benchi jipya la ufundi.  Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein…

Read More

TIRA YAJA NA SULUHISHO HILI KUHUSU MALAMIKO YA WATEJA

OKOKA Mgavilenzi, Meneja Utekelezaji Sheria na kushughulikia malalamiko, Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tazania, (TIRA) amesema kuwa wateja wanaopata matatizo kwenye soko la bima wanachotakiwa kufanya ni kufika kwenye mamlaka na watashughulikia haraka. Mgavilenzi amesema kuwa wametoea elimu kwa Tanzania Insurance Brokers, (TIBA) kwa lengo la kuongeza ufanisi na weledi sokoni kwenye kutoa huduma kwa…

Read More

YANGA V AZAM FC FAINALI

YANGA imetinga hatua ya fainali ya CRDB Federation Cup kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Ni dakika ya 104 bao la ushindi kwa Yanga limefungwa na Aziz KI katika mchezo wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Ni fainali ya nne kwa Yanga katika CRDB Federation Cup wanakwenda…

Read More

NYOTA HAWA WA KAZI KUIKOSA REAL BAMAKO

NYOTA wa Yanga, Jesus Moloko kuna hatihati akaukosa mchezo wa leo dhidi ya Real Bamako kutokana na kutokuwa fiti. Nyota huyo alipata maumivu kwenye mchezo wa Azam Sports Federation dhidi ya Tanzania Prisons ambao ulikuwa ni wa hatua ya 16 bora. Moloko ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ambapo kwenye…

Read More

MABOSI NAMUNGO FC WAPEWA DAKIKA 90

MCHEZO wa Namungo FC dhidi ya Ruvu Shooting umeshikilia hatma ya Kocha Mkuu, Hemed Morocco na Mtendaji Mkuu, Omary Kaaya. Kwa mujibu wa Kamati Tendaji ya Namungo na mwenyekiti wake ni Hassan Zidadu imekubaliana kufanya hivyo baada ya kukaa kikao Jumatatu ya Novemba 29. Zidadu ameweka wazi kuwa wamekuwa na mwendo ambao hauridhishi katika timu…

Read More

KIVUMBI KITAWAKA KWA MKAPA MZIZIMA DABI

ULE mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki Bongo Mzizima Dabi umepangiwa tarehe na sasa siku zinahesabika kufika muda wa wababe wawili kusaka ushindi. Ni Mzizima Dabi inatarajiwa kuwa Mei 9 kwa wababe wawili Azam FC kumenyana na Simba. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba baada ya dakika…

Read More

MWAKA MPYA UMEANZA NA KIMBUNGA CHA ZAWADI KEM KEM JANUARI HII!

Mwaka mpya umeanza na Kimbunga cha zawadi kem kem Januari hii! Meridianbet Kasino itawafurahisha washindi 3 wenye bahati kwa kuwapatia zawadi mbalimbali, ni kwa kucheza michezo yeoyote ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbetkama vile Aviator, Titan Roulette, Titan Dice, Poker, God of Coins, Expanse Casino, Egyptian Buddha na mingine mingi. Mshindi wa Meridianbet Kasino Kujishindia…

Read More