
JKT TANZANIA NA NANGU KAZI INAENDELEA
JINA lake anaitwa Wilson Nangu miongoni mwa wachezaji ambao wanavuja jasho ndani ya JKT Tanzania ambayo ipo ndani ya 10 bora. Katika eneo ambalo JKT Tanzania haijawa imara sana ni eneo la ushambuliaji ikiwa na wastani mdogo katika kucheka na nyavu baada ya mechi 18 safu ya ushambuliaji imefunga mabao 11. Eneo ambalo imekuwa imara…