
ITAKUA AIBU KUFUNGWA NA YANGA KWENYE UWANJA WETU
Kikosi cha KMC FC kinajiandaa kwa mtanange mkali dhidi ya Young Africans SC (Yanga) kwenye dimba la KMC Complex, huku msemaji wa timu hiyo, Khalid Chukuchuku, akisisitiza kuwa lazima watetee uwanja wao kwa gharama yoyote. Kwa mujibu wa Chukuchuku, itakuwa aibu kubwa kwao kufungwa nyumbani na Yanga, ambao watakuwa wageni katika mchezo huo utakaopigwa kesho,…