
VIDEO:KICHAPO CHA RUVU KUMBE KILIKUWA HAKIWAHUSU
ISSA Azam, shabiki wa Simba amesema kuwa kichapo cha mabao 7-0 ambacho wamewapa wapinzani wao Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho haikuwa juu yao bali walijichanganya na kuna timu ambayo imeandaliwa kichapo hicho.