LIVERPOOL SASA YAMPASUA KICHWA KLOPP

JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool kwa sasa anapasua kichwa namna ya kuweza kuendelea kuwa kwenye ushindani kutokana na wachezaji wake nyota wa kikosi cha kwanza kuumia ikiwa ni pamoja na winga matata, Sadio Mane raia wa Senegal. Mane aliumia kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Togo na hakuweza kuyeyusha dakika…

Read More

MASTAA WENYE MAKOMBE MENGI ZAIDI

DANI Alves mwenye miaka 38 ni raia wa Brazil aliwahi kucheza Barcelona msimu wa 2008/16 anaingia kwenye orodha ya nyota waliotwaa mataji mengi akiwa nayo 42.   Lonel Messi raia wa Argentina anakipiga PSG yeye ametwaa mataji 37 ,afanikio yake makubwa aliyapata akiwa ndani ya Klabu ya Barcelona. Andres Iniesta mwenye miaka 37 nyota aliyekipiga pia…

Read More

SIMULIZI YA MUME ALIYEKUWA NA TABIA ZA KERO

SIMULIZI ya mume ambaye alikuwa na tabia zilizomkera mkewe Ndoa yangu na mume wangu ilikua yenye kutamaniwa na wengi. Tuliishi mjini katika makao ya wafanyakazi wa Serikali ambapo mume wangu alikua mhasibu katika Serikali ya kauti ya Mombasa. Nilifanya kazi ya ususi mjini Mombasa ambapo nilikuwa na duka la kuuza bidhaa mbalimbali za kutia nakshi…

Read More

STARS NDANI YA MADAGASCAR TAYARI KWA KAZI

TIMU ya Taifa ya Tanzania,Taifa, Taifa Stars kesho ina kibarua kingine cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Madagascar katika mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Dunia. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Novemba 14  na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa timu zote kwa sasa hazina cha kupoteza zaidi ya kutafuta heshima. Jana Novemba…

Read More

WANANCHI NI MWENDO WA USHINDI TU HUKO

WANANCHI wameendelea kuwa na furaha baada ya kushinda mabao 2-1 mbele ya KMKM FC katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Wamekuwa kwenye mwendo wa ushindi kwa kuwa hata mchezo wa kwanza walipocheza dhidi ya Mlandege, Yanga ilishinda bao 1-0 na mtupiaji alikuwa ni Heritier Makambo ilikuwa ni Novemba 9. KMKM FC walikuwa…

Read More

MERIDIAN GAMING GROUP KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA COVID – 19

Tangu mwanzo wa janga la COVID-19, kampuni zote za Meridian Gaming Group zimekuwa zikifanya jitihada za makusudi katika kuzisaidia jamii sehemu mbalimbali duniani.   Mchango wa kampuni hii katika kupambana na Covid-19 ni mkubwa kama ambavyo Meridian Gaming Group imeonesha kwenye matokeo yake ya mwaka 2021 katika kupambana na janga hili.  Meridian imeripoti kuchangia zaidi…

Read More

PABLO AANZA KAZI SIMBA

PABLO Franco, raia wa Hispania ambaye ni kocha mpya wa Simba, leo Novemba 12 emeanza rasmi kufundisha wachezaji wa Simba. Kocha huyo ambaye amechukua mikoba ya Didier Gomes raia wa Ufaransa ambaye alibwaga manyanga Oktoba 26 amesaini dili la miaka miwili kuwa ndani ya kikosi hicho. Katika mazoezi ambayo yamefanyika Uwanja wa Boko Veteran alikuwa…

Read More

MANCHESTER UNITED KOCHA HUYU ATAJWA

Habari za chini ya kapeti zinamtaja Brendan Rodgers kama kocha atakayepewa kibarua pale Old Trafford, pindi atakapoondoshwa mtoto wa nyumbani Ole Gunner Solskjaer.   Rodgers aliwahi kufundisha Liverpool ambayo aliifikisha nafasi ya 2 kwenye msimu wa 2013/14. Muda mfupi baada alijiunga na Celtic kabla ya 2019 kurejea kwenye EPL na kuichukua Leicester City ambayo bado yupo nayo, mpaka sasa…

Read More

WASHINDI WA MKWANJA WA JACKPOT WAVUNA MINOTI

WASHINDI wa Jackpot bonus ya Kampuni ya SportPesa wamezidi kujazwa minoti baada ya kupata ushindi katika ubashiri wao waliofanya. Hawa ni Washindi wa Jackpot bonus kutoka kushoto Mohammed O. Mohammed, Deo Nehemia Msemwa na Yona Teremia Nyasomba wakishikilia mfano wa hundi ya shilingi 5,003,220 ambapo kila mmoja ataondoka na kiasi hicho mara baada ya kubashiri kwa…

Read More

RUVU SHOOTING HESABU ZAO HIZI HAPA

  MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ubora wa kikosi ambacho eanacho kwa sasa hawana wasiwasi na mechi za Ligi Kuu Bara. Bwire amebainisha kuwa wanajivunia kutokana na kutumia kikosi kazi chenye wazawa huku wakiwa na malengo ya kufanya vizuri katika kila mechi. “Tuna wachezaji wazuri ambao wana uwezo mkubwa na kila…

Read More

YANGA:MOTO HUU HAUZIMI

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetamba kuwa moto walioanza nao kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu hauzimiki, bali wataendelea kukusanya pointi tatu katika kila mchezo ulio mbele yao ili kutimiza jambo lao la kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.   Yanga wameanza vizuri msimu huu wa 2021/22 ambapo mpaka sasa kwenye Ligi Kuu…

Read More

HUU HAPA MSHAHARA KOCHA MPYA SIMBA

BAADA ya kusaini dili la miaka miwili ndani ya kikosi cha Simba, Pablo Franco raia wa Hispania anatajwa kuingia kwenye orodha ya makocha ambao watakuwa wanakunja mkwanja mrefu ndani ya Bongo ikiwa ni zaidi ya milioni 30 kwa mwezi.   Pablo amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha Simba akichukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa klabu…

Read More

POGBA MAJANGA MATUPU

KIUNGO wa kati wa Manchester United Paul Pogba hatoshiriki katika mechi ya michuano ya kufuzu kwa kombe la dunia baada ya kupata jeraha la nyonga.   Mshindi huyo wa Kombe la Dunia, mwenye umri wa miaka 28 alipata jeraha wakati wa mazoezi  Jumatatu , Shirikisho la soka nchini Ufaransa FFF limesema.   Pogba hatoshiriki katika mechi ya Jumamosi dhidi…

Read More