
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili, nakala yake ni jero
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili, nakala yake ni jero
SIMBA Queens imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Yanga Princess katika mchezo wa Ligi ya Wanawake. Mchezo huo umechezwa leo Januari 8, Uwanja wa Mkapa na Simba Queens imesepa na pointi zote tatu. Mchezo ujao utakuwa ni wa mzunguko wa pili na unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mo Simba Arena.
KIUNGO mshambuliaji wa FC Barcelona, Phillipe Coutinho amejiunga kwa mkopo kwenye klabu ya Aston Villa hii baada ya Villa kudhibitisha kupitia mitandao yake ya kijamii juu makubaliano ya timu zote mbili juu ya sahihi ya Mbrazili huyo. Coutinho anarejea tena nchini Uingereza baada ya kuondoka kwenye majira ya joto mwaka 2018 alipojiunga na miamba ya Uhispania,…
KWENYE mchezo wa Kombe la Mapinduzi kati ya Simba v Mlandenge ambapo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Amaan, Januari 7 ulisoma Mlandege 0-0 Simba. Mchezaji bora alichaguliwa kuwa ni Hassan Abdallah na alipewa zawadi na NIC ya shilingi laki tano ameweka wazi kuwa walijipanga kushinda ila ilikuwa tofauti kutokana na uimara wa…
KITU pekee ambacho mashabiki wa Simba na Yanga wanakifurahia kwa sasa ni kuziona timu hizo zikiendelea kukipiga kwenye Kombe la Mapinduzi licha ya kubanwa kwenye mechi zao za mwisho za makundi. Vigogo hao wa soka bara licha ya kuwa na sehemu kubwa ya vikosi vyao lakini walishindwa kuzibeba pointi tatu kwenye mechi hizo za mwisho ambapo waliambulia pointi moja tu. Yanga ndiyo walikuwa wa kwanza kucheza ambapo walitoshana…
KOCHA Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema ‘Morinyo’ ameweka wazi kuwa anataka kufuta uteja mbele ya Simba Queens kwa kushinda kwenye mechi yao ya dabi itakayopigwa leo Jumamosi Januari 8 2022 katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Kocha huyo alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano kati ya timu hizo na Waandishi wa Habari uliofanyika jana Ijumaa katika Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Edna amesema: “Sina matokeo mazuri au Yanga Princess haina matokeo mazuri mbele ya Simba, ila huu ni mchezo na matokeo ni baada ya…
Wikiendi hii, mzunguko wa 3 wa FA Cup unaendelea hii ikiwa ni sambamba na kuanza kwa Mashindano ya AFCON 2022 Barani Afrika. Ni burudani tupu viwanjani. Jamvi la wikiendi lipo hivi; Leicester City watawaalika Watford pale King Power Stadium Jumamosi hii. Cladio Ranieri atarejea nyumbani kwa mara ya pili. Walipokutana kwenye EPL, Watford walipoteza…
Sidney Poitier, ambaye alivuka vikwazo vya rangi kama mshindi wa kwanza Mweusi wa mwigizaji bora Oscar kwa jukumu lake katika filamu ya Lilies of the Field, na kuhamasisha kizazi wakati wa harakati za haki za kiraia, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94 Sidney Poitier, ambaye alivuka vikwazo vya rangi kama mshindi wa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
SIMBA leo Januari 7,2022 imetoshana nguvu bila kufungana na Mlandege FC kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi. Dakika 90 zimekamilika kwa ubao wa Uwanja wa Amaan kusoma Simba 0-0 Mlandenge FC. Licha ya Simba kuanza na wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ikiwa ni pamoja na kipa namba moja Aishi Manula, mshambuliaji wao…
MILANGO ni migumu Uwanja wa Amaan baada ya dakika 45 kumeguka huku ubao ukisoma Simba 0-0 Mlandege FC. Ni mchezo wa Kombe la Mapinduzi ambapo timu hizi zinasaka nafasi ya kutinga hatua ya nusu fainali. Jitihada za Simba kuweza kupata bao la kuongoza ndani ya dakika 45 zimegonga mwamba kutokana na nafasi ambazo wamezitengeneza kushindwa…
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mlandege FC leo Januari 7 Kombe la Mapinduzi. Ni full mkoko umeanza kikosi cha kwanza kusaka ushindi mbele ya Mlandege ambao nao wapo kamili kusaka ushindi.
DAKIKA 90 zimekamilika kwa Yanga kugawana pointi mojamoja na KMKM katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan. Mabao ya Heritier Makambo dakika ya 45 na liliwafanya waweze kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza. Bao la KMKM la ufunguzi lilikuwa ni kupitia kwa Abdlahaman Ali ilikuwa ni dakika ya 55. Feisal Salum alipachika…
UWANJA wa Amaan ni mapumziko Kombe la Mapinduzi baada ya dakika 45 kukamilika. Ubao unasoma Yanga 1-0 KMKM na mtupiaji ni Heritier Makambo kwa pasi ya Dikson Ambundo dakika ya 45. KMKM wamekuwa wakipambana ndani ya dakika 45 lakini wamekwama kutumia nafasi ambazo wamezipata mbele ya Yanga. Yanga unakwenda mapumziko ikiwa na faida ya…
HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya KMKM
RASMI Salum Mayanga atakuwa kwenye benchi la ufundi la Mtibwa Sugar baada ya kutambulishwa leo Januari 7,2022. Mayanga alikuwa akiinoa timu ya Tanzania Prisons ambapo alikuwa kwenye mwendo mzuri jambo lililowafanya Mtibwa Sugar kuhitaji huduma yake. Anachukua mikoba ya Joseph Omong ambaye alichimbishwa Desemba 14,2021. Kwenye msimamo Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 13 ikiwa na…
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco,ameweka wazi kuwa atakuwa na programu maalum na majembe mapya ya kikosi hicho ili kuhakikisha wanaingia katika mfumo wake na kupata muunganiko wa pamoja wa timu ili kuwa na kikosi imara. Simba, Jumatano ilianza vizuri vita ya kuwania ubingwa wa Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Selem View Academy, ambapo leo Ijumaa Simba wanatarajia kuvaana na Mlandege majira ya saa 2:15…