
NABI:TULIWAZIDI MBEYA CITY KILA KITU
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, yenye pointi 36 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye ligi kuu, amesema kuwa waliwazidi wapinzani wao Mbeya City walio na pointi 23 kwenye kila kitu ndani ya dakika 90, kasoro kuwafunga tu ndio walishindwa. Uwanja wa Mkapa Februari 5, ubao ulisoma Yanga 0-0 Mbeya City ambapo jitihada za Fiston Mayele…