
KIMATAIFA SIMBA MNA KAZI, WAAMUZI JUKUMU LENU NI SHERIA 17
KIMATAIFA kazi inarudi ndani ya Uwanja wa Mkapa kwa Simba kuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Waliobaki kuiwakilisha Tanzania ni Simba ambao walikuwa na nafasi ya kutiga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Haikuwa rahisi kutokana na kujiamini kupita kiasi kwa Simba baada ya kuweza kufanya…