
EPL, LALIGA, BUNDESLIGA NA SERIE A MAMBO NI BAMBAM
Baada ya mapumziko ya wiki 2 na kupisha mashindano ya Kimataifa, Ligi mbalimbali zinaendelea wikiendi hii ikiwa ni mbio za kuelekea mwishoni mwa msimu. Viwanjani kupo hivi; Manchester United watakua Old Trafford wakiwaalika Leicester City katika muendelezo wa EPL. United wanamachungu ya kupigwa 4-1 kwenye mchezo wa kwanza kule King Power Stadium enzi za Ole…