
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
TIMU ya taifa ya Tanzania, U 17 ya Wanawake imeshinda mabao 7-0 dhidi ya Botswana kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan,Zanzibar. Ni mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambao ulikuwa na ushindani mkubwa. Kipindi cha kwanza Tanzania ilikuwa mbele kwa mabao manne na kipindi cha pili walifunga mabao matatu na kufanya hesabu kukamilika kwa…
Heritier Makambo, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mchezo wao wa leo dhidi ya Geita Gold ulikuwa ni muhimu kwao kupata pointi tatu muhimu. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanna wa CCM Kirumba umesoma Geita Gold 0-1 Yanga. Bao pekee la ushindi limefungwa na Fiston Mayele ilikuwa dakika ya kwanza na liliweza kudumu mpaka dakika…
UWANJA wa CCM Kirumba, ubao unasoma Geita Gold 0-1 Yanga ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kasi ilianza kipindi cha kwanza ambapo Yanga walifanya majaribio mawili ambayo yalikuwa na hatari lakini ni moja liliweza kuzama nyavuni. Ni Fiston Mayele alipachika bao hilo mapema dakika ya kwanza kutokana na safu ya ulinzi ya Geita Gold…
Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameteuliwa kuwa kocha bora wa Februari ndani ya Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa Kamati ya Tuzo ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) iliyokutana Jumamosi ilimchagua Nabi. Nabi ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Fred Minziro wa Geita Gold na Thiery Hitimana wa KMC. Kwa Februari Yanga iliifunga Kagera Sugar mabao…
CHAMA cha Mchezo wa Karate Tanzania (TASHOKA) kinaendelea kutekeleza kwa vitendo matukio katika kalenda yake ya Mwaka 2022 iliyoitoa hivi karibuni. Kwa mujibu wa Kalenda hiyo Kuanzia Februari 12 mpaka April 16 mwaka huu kunafanyika semina elekezi kwa wakufunzi wote wa vilabu Vya Tashoka pia kunafanyika kozi ya urefa wa Karate Grade D,C na B….
SAID Ntibanzokiza, Kiungo wa Yanga ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari ndani ya Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania imeeleza kuwa nyota huyo amechaguliwa na Kikao cha Kamati kilichokutana Dar Jumamosi. Kwenye mechi za ligi aliweza kutupia mabao mawili na kuhusika katika mabao matatu. Leo Yanga ina…
NYOTA watano wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo wanatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi dhidi ya Geita Gold. Ni Jesus Moloko, Djuma Shaban pamoja na Khalid Aucho ambao hawa hawapo fiti kuweza kuanza mchezo wa leo. Aucho inaripotiwa kwamba amepata majeraha huku Djuma akitajwa kuwa na Mlaria na Moloko yeye ni…
WACHEZAJI wa Polisi Tanzania walimpa zawadi ya ushindi mchezaji wao Gerald Mdamu kwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mdamu yupo nje ya uwanja kwa muda akitibu mguu ambao aliumia baada ya kupata ajali walipokuwa wakitoka mazoezini na timu ya Polisi Tanzania. Ni bao la Kassim…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
KLABU ya DTB inayoshiriki Championship leo Machi 5 imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu FC ya Mbeya. Ilikuwa ni mchezo mmoja wa kukata na shaka uliowakutanisha vigogo hawa wanaopewa nafasi kubwa ya kuweza kushiriki Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Ally Ally wa Ihefu ambaye ni…
KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi amefurahia kurejea uwanjani mastaa wake wawili jambo linalomuongezea nguvu kuelekea mchezo wake dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa kesho. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Jumapili hii katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kupigwa saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mastaa hao waliorejea katika…
LEO ni leo kwa Azam FC kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Polisi Tanzania ambayo nayo inapiga hesabu ya kusepa na pointi hizo tatu. Ikumbukwe kwamba jana Polisi Tanzania wachezaji wote pamoja na viongozi wa timu hiyo waliweza kumtembelea mchezaji wao Gerald Mdamu ambaye alipata ajali na aliweza kuwapa ujumbe wa kuwaomba wachezaji wenzake wazidi…
NYOTA wawili wa Simba ambao ni Chris Mugalu na Kibu Dennis tayari wameanza mazoezi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Pablo Franco. Nyota hao ni mitambo ya kutengeneza mabao kutokana na kuwa na rekodi za kuwa na uwezo wa kutengeneza nafasi za mabao kwenye mechi ambazo wamecheza msimu wa 2021/22. Mugalu yeye ametengeneza…
JURGEN Klopp,Kocha Mkuu wa Liverpool inayoshiriki Ligi Kuu England amethibitisha kwamba ataondoka ndani ya timu hiyo mkataba wake utakapomeguka 2024. Ameongeza kuwa anaweza kuamua kubaki hapo ikiwa tu ataona ana nguvu ya kuweza kuiongoza timu hiyo. Liverpool chini ya Klopp iliweza kuvunja mwiko wa kupitisha miaka 30 kusubiri taji la Ligi Kuu England akiwa amekaa…
MJUMBE wa Kamati ya Wazee ya Klabu ya Simba, Said Muchacho, amemuahidi kumpatia zawadi ya mbuzi mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele kama atafanikiwa kuifunga Simba katika michezo inayofuata ambayo watakutana. Ahadi hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya shabiki mmoja wa Yanga kutoka Morogoro kumpa Mayele ng’ombe baada ya kufunga bao dhidi ya Mtibwa…
Licha ya kuwa miongoni mwa kampuni kubwa ya burudani kule Ulaya Kusini mashariki, Meridianbet imekuwa ikifanya kazi nzuri kwenye nchi za Umoja wa Ulaya, Amerika ya Kusini na Afrika kwa zaidi ya miaka 10, hii ikiwa ni pamoja na kusaidia vilabu. Meridianbet ni mshirika wa michezo ya kubashiri kwa zaidi ya vilabu 20 vya…