
MDAMU APEWA ZAWADI YA USHINDI,AZAM YAPOTEZA
WACHEZAJI wa Polisi Tanzania walimpa zawadi ya ushindi mchezaji wao Gerald Mdamu kwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mdamu yupo nje ya uwanja kwa muda akitibu mguu ambao aliumia baada ya kupata ajali walipokuwa wakitoka mazoezini na timu ya Polisi Tanzania. Ni bao la Kassim…