
AZAM FV V POLISI TANZANIA LEO NI LEO
LEO ni leo kwa Azam FC kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Polisi Tanzania ambayo nayo inapiga hesabu ya kusepa na pointi hizo tatu. Ikumbukwe kwamba jana Polisi Tanzania wachezaji wote pamoja na viongozi wa timu hiyo waliweza kumtembelea mchezaji wao Gerald Mdamu ambaye alipata ajali na aliweza kuwapa ujumbe wa kuwaomba wachezaji wenzake wazidi…