
MALI ZA ABRAMOVICH MMILIKI WA CHELSEA ZAZUIWA
MALI za mmiliki wa Klabu ya Chelsea na bilionea wa Kirusi, Roman Abramovich zimezuiliwa rasmi na Serikali ya Uingereza kuanzia, Machi 10, 2022 kama sehemu ya kuwatia kitanzi matajiri wote wa Kirusi ambao wanahusishwa na kuwa na ukaribu na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Abramovich anaingia kwenye orodha ya mabilionea saba wa Urusi waliowekewa vikwazo…