
YANGA KWENYE PRESHA KISA KUPOTEZA, KAZINI KIMATAIFA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic ameweka wazi kuwa wapo kwenye presha kubwa kwa sasa kwenye mechi za kimataifa kutokana na kupoteza mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi dhidi ya Al Hilal lakini watapambana kupata matokeo mazuri. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza kwa Yanga katika hatua ya makundi walikuwa nyumbani na baada ya dakika…