
MAJANGA MENGINE ,KIUNGO WA KAZI YANGA AUMIA
TAARIFA mbaya kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa, kiungo wao tegemeo hivi sasa, Mganda, Khalid Aucho, huenda akaukosa mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC. Hiyo ikiwa ni siku chache kabla ya timu hiyo kuvaana na Azam katika mchezo utakaopigwa Jumatano ijayo saa moja kamili usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamanzi…