MBEYA KWANZA WANA REKODI YAO BONGO

KIKOSI cha Mbeya Kwanza kinashikilia rekodi ya kuwa timu namba moja iliyoshinda mechi chache ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22. Ikiwa imecheza mechi 18 ni mechi mbili pekee imeshinda ambazo ni dakika 180 huku ikiwa imeambulia kichapo kwenye mechi 8. Sare imeambulia kwenye mechi 8 na kibindoni ina pointi 14 ikiwa nafasi ya 16…

Read More

KINZUMBI AIWAHI KAMBI YANGA

WINGA wa TP Mazembe ya DR Congo, Phillipe Kinzumbi, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kutua nchini tayari kwa kuingia kambini Yanga. Nyota huyo ni kati ya wachezaji walio katika mipango ya kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya msimu ujao ambapo wikiendi iliyopita alipewa mkataba wa awali. Usajili wa Kinzumbi ni chaguo la Kocha Mkuu wa…

Read More

DUBE:NIPO FITI SASA NITAFUNGA

BAADA ya kupitia kipindi kigumu cha kuandamwa na majeraha, hatimaye straika wa Azam FC, Prince Dube, amesema kuwa kwa sasa yupo fiti, anataka kupambana na kuifungia mabao mengi timu yake. Dube amesema msimu uliopita alipishana na kiatu cha ufungaji bora kwa sababu alikuwa anaumia mara kwa mara, lakini kwa sasa yupo fiti na anarudi akiwa…

Read More

SIMBA BADO NI ILEILE LICHA YA KUSHINDA MZIZIMA DABI

LICHA yakupata ushindi mechi tatu na sare moja bado Simba matatizo yake ni yaleyale lazima yafanyiwe kazi katika ulinzi na umaliziaji nafasi ambazo wanazitengeneza. Mechi mbili Simba imepata ushindi katika matukio ambayo yamekuwa na utata kama ilivyokuwa dhidi ya Tabora United kisha dhidi ya Azam FC bao ambalo lilikataliwa lingebadili mchezo Mzizima Dabi. Mchezo dhidi…

Read More

MAYELE,FEISAL WAIBUKIA BUNGENI

MAJINA ya nyota wawili wanaocheza ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine nabi leo Juni 14,2022 yametajwa bungeni. Ni Fiston Mayele mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga akiwa ametupia mabao 14 na pasi tatu pamoja na Feisal Salum ambaye alitupia bao la ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho uliochezwa…

Read More

WACHEZAJI TUKUMBUKE KUWALINDA WACHEZAJI

WAKATI mwingine sasa kuweza kuangalia yale makosa ambayo yalifanyika mzunguko wa kwanza kabla ya kuweza kuboresha mambo zaidi mzunguko wa pili. Kwa mzunguko wa kwanza tumeshuhudia namna ambavyo kila timu ilikuwa inapambana kusaka ushindi na kupata kile ambacho kilikuwa kinapatikana baada ya dakika 90. Ilikuwa ni muda bora kwa wachezaji kusaka ushindi kwenye mechi ambazo…

Read More

MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL

 MANCHESTER United imesepa na pointi tatu mazima mbele ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Traford. Mabao ya Jadon Sancho dakika ya 16 na Marcus Rashford yalitosha kuipa pointi tatu muhimu timu hiyo. Bao la Liverpool lilifungwa na Mohamed Salah dakika ya 81. Rekodi zinaonyesha kuwa United ilipiga jumla ya…

Read More