
VIUNGO WA KAZI CHAMA NA SADIO KUIKOSA RUVU SHOOTING
LEO Jumapili ya Mei 8,2022 Simba ikitarajiwa kucheza dhidi ya Ruvu Shooting, inatarajiwa kuwakosa Clatous Chama na Sadio Kanoute ambao ni majeruhi. Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu ameweka wazi kwamba nyota hao hawapo fiti kutokana na kusumbuliwa na majeraha. “Tuna majeruhi wawili ambao hawatacheza mechi yetu ambao ni Sadio Kanoute na Clatous Chama.” Huu ni…