
M-BET, HALOPESA WAANZA KUMWAGA ZAWADI KAMPENI YA AMSHAAMSHA
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya M-Bet kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Halotel kupitia HaloPesa zimezawadia washindi wa kwanza wa kampeni ya Amsha Amsha zawadi mbalimbali. Meneja Masoko wa M-Bet, Levis Paul amewataja washindi hao kuwa ni Ramadhan Mussa wa Dodoma na Greta Godfrey wa Dar es Salaam ambao wameshinda simu janja za…