
AZAM FC :TUMEKUWA NA MSIMU MBAYA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa umekuwa na msimu mbaya ndani ya 2021/22 kutokana na kushindwa kupata matokeo wanayohitaji kwenye mechi zake. Chini ya Kocha Mkuu, Abdi Hamid Moallin juzi ikiwa Uwanja wa Sokoine ubao ulisoma Mbeya City 2-1 Azam FC na kuwafanya wayeyushe pointi tatu mazima. Msemaji wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema…