
BARAKA LUGWISHA ASHINDA NA M BET TANZANIA 168,972,500
MKAZI wa mkoa wa Kagera, Baraka Lugwisha Shoki amejishindia kitita cha Sh 168,972, 500 baada ya kubashiri kiusahihi mechi 12 za mchezo wa Perfect 12 unaondeshwa na kampuni ya M-Bet Tanzania. Shoki ambaye ni shabiki wa Simba, Geita Gold FC na Chelsea alisema kuwa haikuwa kazi rahisi kwa yeye kushinda kiasi kikubwa cha fedha hicho kutokana na…