
ILALA FC MABINGWA LIGI YA SOKA LA UFUKWENI
MABINGWA wa Ligi ya Soka la Ufukweni msimu wa 2021/22 ni Ilala FC baada ya ushindi kwa penalti 4-3 dhidi Mburahati FC kwenye mchezo uliochezwa jana, Viwanja vya Coco Beach. Mchezo huo ulifikia hatua ya penalti baada ya timu hizo kufungana mabao 4-4 kwenye msako wa bingwa mpya kwenye ligi hiyo ambayo inadhaminiwa na Global…