
MTAMBO WA MABAO YANGA KAMILI KWA KAZI
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi upo kamili kwa mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2 2025, Tabora. Ni Prince Dube chaguo la kwanza la kocha ni miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye kikosi cha Yanga ambacho kinakumbuka kwamba mzunguko wa kwanza walipoteza pointi tatu mazima Uwanja wa…