VIDEO:OFISA HABARI WA SIMBA AACXHA UJUMBE HUU WAKATI WAKIKWEA PIPA
OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally leo Februari 18 ameweka wazi kwamba wanakwenda Niger kusaka ushindi kwenye mechi za kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika.
OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally leo Februari 18 ameweka wazi kwamba wanakwenda Niger kusaka ushindi kwenye mechi za kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika.
FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga ameweka wazi kwamba anahitaji kusepa na tuzo za ufungaji bora kwenye mashindano yote ambayo anashiriki kwa msimu wa 2021/22. Kwenye ligi Mayele ametupia mabao sita akiwa ni kinara kwa upande wa Yanga na pia ametoa pasi mbili za mabao kwa upande wa Kombe la Shirikisho ametupia bao moja ilikuwa ni…
WAWAKILISHI wa Tanzania kimataifa katika Kombea Shirikisho, Simba leo wanatarajiwa kukwea pipa kuelekea nchini Niger. Simba itakuwa na mchezo dhidi ya USGN ya Niger ambao ni wa makundi katika Kombe la Shirikisho. Mchezo wa kwanza wa Simba katika Kombe la Shirikisho walishinda mabao 3-1 ilikuwa dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Ni Shomari Kapombe,…
RAIS wa Makampuni ya GSM Group, Gharib Salim Mohammed, Jumapili aliwaalika mastaa wa Yanga nyumbani kwake Kigamboni, Dar es Salaam wakiongozwa na Fiston Mayele na Chico Ushindi kwa ajili ya kula chakula cha mchana sambamba na kufanya kikao kizito. Yanga ambao ni mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara wakibeba ubingwa huo mara 27 ikiwa…
MCHEZO wa KMC FC wa Ligi kuu ya NBC Soka dhidi ya Dodoma Jiji uliopangwa kuchezwa katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Jumapili ya Februali 20,2022 umehamishwa na sasa utapigwa katika Uwanja wa Azam Complex Chamanzi Jijini Dar es Salaam saa moja kamili jioni. Kwa mujibu wa barua ya Bodi ya Ligi (TPLB) iliyotumwa jana mchana…
Ubora wa hali ya hewa umekuwa ukiongoza mijadala mikubwa ya masuala ya kimataifa kwa miongo kadhaa sasa. Ndio maana Meridian Gaming Group inafanyia kazi moja ya miradi mikubwa ya mazingira kwa sasa. Kampuni hii inafanya kazi katika masoko zaidi ya 30 Ulaya, LATAM na Afrika, inapanga kutoa zaidi ya miche 20,000 katika kila soko inaloendesha…
WACHEZAJI watatu tegemeo wa Simba, Chris Mugalu, Kibu Denis na Hassan Dilunga, wapo katika hatihati ya kuongozana na msafara wa timu hiyo utakaokwenda nchini Niger. Simba leo inatarajiwa kusafiri kuelekea Niger kuvaana na US Gendarmerie kwa ajili ya mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Jumapili hii. Katika michuano hiyo, Simba wapo Kundi D na timu za ASEC…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
SAID Ntibanzokiza, ‘Saido’mambo yake yalikuwa magumu mbele ya Biashara United kwa kushindwa kumtungua kipa namba moja wa Biashara United, James Ssetuba jambo lililofanya kila muda awe anajisikitia anapokosa nafasi. Juzi wakati Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United na mabao ya Yanga yalifungwa na…
MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kwamba ushindi ambao wameupata wa mabao 7-0 dhidi ya Ruvu Shooting wanajua kwamba kuna maombolezo na wote wanaombeleza lakini kwenye mpira Simba wakiwa wanataka kitu lazima kikamilike hivyo wanaomba radhi kwa yaliyotokea. Ushindi wa mabao 7 Uwanja wa Mkapa unaifanya Simba kutinga hatua ya robo fainali inaungana na Yanga,Pamba,Polisi Tanzania,Azam…
KIUNGO wa Azam FC, Tepsi Evance amemfunika nyota wa Namungo FC, Obrey Chirwa kwa vitendo katika suala la kutoa pasi za mwisho ndani ya ligi huku akiingia kwenye anga za Clatous Chama ambaye anatetea tuzo yake ya kiungo bora. Chirwa ana pasi tatu za mabao pia anashikilia rekodi ya kutoa pasi zaidi ya moja kwenye…
ISSA Azam, shabiki wa Simba amesema kuwa kichapo cha mabao 7-0 ambacho wamewapa wapinzani wao Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho haikuwa juu yao bali walijichanganya na kuna timu ambayo imeandaliwa kichapo hicho.
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa sababu kubwa ya kupoteza kwa kufungwa mabao 7-0 yametokana na mambo makubwa matatu ambayo yalisababisha wapate matokeo hayo. Bwire amesema kuwa sababu ya kwanza ilikuwa ni majonzi kwa sababu wachezaji walitoka kumpoteza mchezaji muhimu ambaye alikuwa kwenye kikosi hicho. Pia amesema kuwa wachezaji wa Ruvu Shooting…
OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa ushindi wa mabao 7-0 waliopata mbele ya Ruvu Shooting ni salamu kwa timu ambazo zimetangulia hatua ya robo fainali katika Kombe la Shirikisho Pablo Franco alishuhudia timu hiyo ikitinga hatua ya robo fainali na Simba ni mabingwa watetezi.
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi lipo mezani
UWANJA wa Mkapa Simba imeshinda mbele ya Ruvu Shooting kwa kutupia mabao 7-0. Kipindi cha kwanza Simba walitupia mabao matano ilikuwa kupitia John Bocco na Clatous Chama ambao walitupia mabao mawilimawili na bao moja ilikuwa ni la kujifunga kwa Michael Masinda ilikuwa dakika ya 44. Kipindi cha pili Ruvu Shooting walifanya mabadiliko kwa kumtoa kipa…
KIUNGO Deus Kaseke katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Biashara United alitumia dakika 8 akitokea benchi na alichukua nafasi ya Feisal Salum. Alipiga pasi 9 na alicheza faulo moja wakati Yanga ikishinda mabao 2-1 dhidi ya Biashara United Yanga imetinga hatua ya robo fainali inaungana na Azam FC iliyowatungua Baga Friends timu ngumu…