Mostbet Platformasinda Tehlukesiz Merc ve Qazanc Artirma Yollari
Mostbet Platformasinda Tehlukesiz Merc ve Qazanc Artirma Yollari

KIKOSI CHA JKT TANZANIA DHIDI YA SIMBA
JKT Tanzania inatarajiwa kushuka Uwanja wa KMC, Complex kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Simba. Mchezo uliopita JKT Tanzania iligawana pointi mojamoja na Namungo. Hiki hapa kikosi cha kazi cha JKT Tanzania kipo namna hii:- Yakoub Suleman, Salum Salum, Wilson Nagu, Said Hamis, Brayson David. Hassan Kapalata, Najim Maguru, Edson Kataga, Gamba Matiko, Shiza Ramadhan,…

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA JKT TANZANIA
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wanatarajiwa kushuka Uwanja wa KMC, Complex kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania ambao nao wanazihitaji pia pointi hizo muhimu. Hiki hapa Kikosi cha Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kipo namna hii:- Moussa Camara, Shomari Kapombe, Valentino Nouma, Che Malone, Abdulazack Hamza, Fabrice Ngoma. Elie Mpanzu,…

ARNE SLOT NI TUNU NDANI YA LIVERPOOL
Je unajua kwasasa mashabiki wa Liverpool ndio mashabiki wenye furaha zaidi Ulimwenguni?. Kama hujui basi ni hivi kalbu hiyo ndio klabu pekee ambayo ipo kileleni kwenye ligi kuu ya Uingereza na kwenye UEFA. Mpaka sasa kufikia Desemba 24 klabu ya Liverpool FC imeendelea kufanya vizuri chini ya uongozi wa kocha mkuu mpya Arne Slot, ambaye…

YANGA YAIPIGIA HESABU DODOMA JIJI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema kuwa hesabu kubwa ni kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 za kazi. Mchezo uliopita Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex ambapo Prince…
Glory casino online: The Top Online Casino for Bangladesh
Glory casino online: The Top Online Casino for Bangladesh

SIMBA V JKT TANZANIA TAMBO ZATAWALA
BAADA ya kutoka kuvuna pointi tatu mbele ya Kagera Sugar katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Desemba 21 na ubao kusoma Kagera Sugar 2-5 Simba leo watakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Simba inakutana na JKT Tanzania ambayo mchezo wao uliopita ilikuwa ugenini dhidi ya Namungo, baada ya dakika 90…

AZAM FC KAZI IMEANZA HUKO
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye dirisha dogo la usajili itafanya usajili wa maana kutokana na mahitaji ya benchi la ufundi hivyo mashabiki wawe na subira kila kitu kipo kwenye mpango. Azam FC kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 15 imekusanya pointi 33 ipo nafasi ya tatu vinara ni Simba wenye pointi 34…

HAJI MANARA ATIBUA, AONYWA NA JESHI LA MAGEREZA
JESHI la Magereza Tanzania limemuonya Mwanachama wa klabu ya Yanga Sc, Haji Sunday Manara kwa kauli isiyo ya kiungwana yenye viashiria vya kutweza utu na yenye mwelekeo wa kulifedhehesha Jeshi hilo aliyotoa baada ya mchezo kati ya Yanga Sc dhidi ya Wajelajela, Tanzania Prisons katika dimba la KMC Complex. Taarifa ya leo Desemba 23 iliyotolewa…

ALIYEKUWA MTENDAJI MKUU WA SIMBA AFARIKI
Aliyekuwa Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Dkt. Anorld Kashembe amefariki Dunia leo Desemba 23, 2024 huku klabu hiyo ikielezea kusikitishwa kumpoteza CEO wao huyo wa zamani ambaye alikuwa na mchango mkubwa kwa klabu hiyo. “Uongozi wa klabu ya Simba umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba uliotokea leo 23.12.2024 wa aliyekuwa Mtendaji wa klabu…

LIVERPOOL MOTO HAUZIMI, SALAH NI MWENDO WA REKODI
WAKIWA ugenini Liverpool walikomba pointi tatu muhimu dhidi ya Tottenham kwa ushindi wa mabao 6-3 mchezo wa Ligi Kuu England ambapo moto wao sasa hauzimi kutokana na mwendelezo wa kusaka ushindi ndani ya uwanja. Mabao ya Diaz alitupia mara mbili dakika ya 85, 23, Mohamed Salah dakika ya 54, 61, Szoboszlai dakika ya 45 na…

SIMBA USAJILI WAO TAMBO ZATAWALA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ameweka wazi kuwa usajili wao mpya wa Ellie Mpanzu umejibu kwa haraka licha ya kuwa na mchezo mmoja wa ushindani. Nyota huyo mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar ambapo kwenye mchezo huo alikomba daika 57 alikuwa na uwezo wa kupiga mashuti ya mbali…

CARY PURRY SLOTI KUBWA YA USHINDI MKUBWA
Huenda umewahi kuona au kusikia stori nyingi kuhusu paka, Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea mkutano na paka wa kuvutia wanaowapa wachezaji zawadi za kasino. Kazi yako ni kuwakusanya tu. Cat Purry ni sloti ya kasino mtandaoni inayotolewa na Games Global. Katika mchezo huu, utapata bonasi kadhaa. Kuna Bonasi ya Kishindo Kikubwa ambayo inakupa nafasi ya…
Подпишитесь На 150 Бонусов Казино! – Азино Мобайл Сайт
Подпишитесь На 150 Бонусов Казино! – Азино Мобайл Сайт

YANGA YAKOMBA TATU ZA PRISON, BACCA, DUBE, MZIZE, WATUPIA
UBAO wa Uwanja wa KMC, Complex umesoma Yanga 4-0 Tanzania Prisons ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mabao ya Clement Mzize dakika ya 13, Ibrahim Bacca dakika ya 42, 83 na Prince Dube dakika ya 45. Kwenye mchezo wa leo Bacca amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo. Rekodi zinaonyesha kuwa katika mechi tano zilizopita…

SIMBA NAMBA MOJA KWA KUCHEKA NA NYAVU MPAKA LIGI
SIMBA ni timu ambayo imefunga mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kucheza jumla ya mechi 13 ndani ya NBC Premier League. Mabao 29 imefunga huku kinara wa utupiaji akiwa nj Jean Ahoua mwenye mabao sita kibindoni kwenye ligi. Ateba na Mukwala hawa wawili wametupia mabao mannemanne kila mmoja katika mabao hayo 29….