MASTAA WATANO SIMBA HAWATAKWENDA MISRI

MASTAA watano wa kikosi cha Simba wataachwa Bongo kwa ajili ya kuweza kutimiza majukumu yao kwenye timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stasr. Kikosi cha Simba leo Julai 14,2022 kinatarajiwa kukwea pipa kueleka nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani…

Read More

RAHEEM NI CHELSEA RASMI

STAA Raheem Sterling (27) ameandika ujumbe maalum wa kuwaaga mashabiki wa Manchester City muda mfupi kabla ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Klabu ya Chelsea ya Uingereza. Katika ujumbe wake Sterling amewashukuru mashabiki na timu ya Manchester City pamoja na bechi la ufundi kwa ujumla kutokana na namna walivyokuwa naye katika nyakati nzuri na…

Read More

AZIZ KI NI NJANO NA KIJANI

MUDA wowote kuanzia sasa huenda Yanga ikamtambulisha nyota wao mpya ambaye ni Aziz KI ambaye anacheza ndani ya kikosi cha ASEC Mimosas. Yanga inaendelea kufanya usajili kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho ambacho kitashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga watawapa kile ambacho mashabiki wao wanasubiri utambulisho wa staa huyo raia wa Ivory Coast. Nyota…

Read More

YANGA YATAMBIA USAJILI WAO BARA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa namna ambavyo wanasajili wachezaji wenye uwezo mkubwa wapinzani wao watasubiri kuwashusha hapo walipo kwa sasa. Yanga imeweza kumalizana na nyota wa kazi ikiwa ni pamoja na kiungo Bernard Morrison,Lazarus Kambole na Gael Bigirimana ambao wana uhakika wa kuwa kwenye kikosi hicho msimu ujao. Ofisa Habari wa Yanga, Haji…

Read More

SIMBA:WACHEZAJI WAZAWA KWETU WANASIMAMISHA NCHI

 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa usajili wa wachezaji wazawa ndani ya kikosi hicho ni usajili wa kuweza kusimamisha nchi kwa kuwa kila mchezaji ana thamani kubwa. Tayari Simba imetambulisha wachezaji wawili wazawa kwa ajili ya msimu ujao ikiwa ni pamoja na Habib Kyombo aliyekuwa anakipiga ndani ya Mbeya Kwanza na Nassoro Kapama ambaye alikuwa…

Read More

VIDEO:KOCHA MPYA SIMBA AMEKUBALI MASHARTI ALIYOPEWA

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba, Kocha Mkuu Zoran Maki amekubali kuweza kusimamia malengo na dira ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2022/23. Masharti ambayo amekubali kuweza kutimiza ni pamoja na kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara,Kombe la Shirikisho,Ngao ya Jamii pamoja na kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Maki amepewa mkataba…

Read More

CR 7 HAUZWI KOCHA MANCHESTER UNITED ATHIBITISHA

KOCHA wa Manchester United raia wa Uholanzi Eric Ten Hag amewaambia Waandishi wa Habari kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hauzwi. Ten Hag ameyasema hayo kufuatia kuwepo kwa tetesi zinazomuhusisha nyota huyo kutimka katika viunga vya Old Trafford kufuatia klabu hiyo kutoshiriki katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya maarufu kama UEFA. “Hajaniambia…

Read More

SIMBA YAMTAMBULISHA RASMI KOCHA,ATOA NENO LAKE

KOCHA Mkuu wa Simba,Zoran Maki leo Julai 12,2022 ametambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Simba ambapo ameweka wazi kwamba anatambua kwenye kila nchi kuna mechi za dabi. Leo amewasili Tanzania raia huyo wa Serbia na anatarajia kukiongoza kikosi hicho kwa muda wa mwaka mmoja ikiwa ni mkataba ambao amesaini kuwatumikia washindi hao wa pili kwenye ligi….

Read More