
GAMOND AACHANA NA AL NASR YA LIBYA KISA MSHAHARA
Miguel Gamondi Aachana na Al Nasr SC Libya Kwa Sababu ya Malipo Ya kutolipwa mshahara na marupurupu mengine Miguel Gamondi, kocha wa soka mwenye umri wa miaka 58, ameamua kuachana na klabu ya Al Nasr SC ya Libya kwa sababu ya klabu hiyo kushindwa kulipa mishahara na ada zake. Gamondi alijiunga na klabu hiyo mnamo…