
TABORA UNITED KUIKABILI YANGA BILA MCHORA RAMANI YA USHINDI
TABORA United itawakabili mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, Yanga bila uwepo wa mchora ramani ya ushindi kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana katika dakika 90 zakuvuja jasho. Mpaka mchora ramani huyo anakutana na Thank You rekodi zinaonyesha kuwa alikaa benchi kwenye jumla ya mechi 14,…