
WINGA WA CONGO ATUA YANGA
Klabu ya Yanga Imethibitisha Kukamilisha Uhamisho wa Winga Jonathan Ikangalombo raia wa Congo DR Ikangalombo amejiunga na Yanga akitokea As Vita na anamudu kucheza Winga na Mshambuliaji wa kati.
Klabu ya Yanga Imethibitisha Kukamilisha Uhamisho wa Winga Jonathan Ikangalombo raia wa Congo DR Ikangalombo amejiunga na Yanga akitokea As Vita na anamudu kucheza Winga na Mshambuliaji wa kati.
“Mchezaji wetu Kouassi Attohoula Yao hatakuwa sehemu ya kikosi baada ya kufanyiwa upasuaji. Yao atakuwa nje kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita. Maxi Nzengeli anaendelea vizuri na maozezi, kama mwalimu ataona utimamu wake wa kimwili unafaa kucheza mchezo ujao basi atamtumia lakini kimsingi kwa sasa yupo salama” Ally Kamwe
Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC, Ali Kamwe amefunguka na kueleza kuwa walitegemea wapinzani wao MC Alger walitarajiwa kufika asubuhi ila hawajafika. “Hakuna kiumbe hai yeyote anayetudai Yanga tumelipa madeni wachezaji na makocha wanaotudai, tumefunguliwa kusajili” Ali Kamwe. “Taarifa ambazo tunazo ni kuwa wapinzani wetu walipaswa kuingia nchini alfajiri ya kuamkia leo, lakini mpaka…
Siku ya kunyakua mamilioni leo kupitia michezo mbalimbali ambayo itapigwa katika ligi kuu mbalimbali duniani ikiwemo Uingereza, Italia, pamoja na Ujerumani, Meridianbet wao kuhakikisha unapiga kitita wameweka Odds bomba kwenye michezo hiyo kazi imebaki kwako. Pale ligi kuu ya Uingereza itapigwa michezo kadhaa, ligi kuu ya Ujerumani halikadhalika itapigwa michezo kadhaa, bila kusahau ligi kuu…
FADLU Davids, mpanga ramani wa kikosi cha Simba ambaye ni Kocha Mkuu amesema kuwa baada ya kufanikisha malengo ya kutinga hatua ya robo fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, sasa hesabu ni kuona wanashinda mchezo ujao Uwanja wa Mkapa. Simba imefikisha pointi 10 kwenye kundi A baada ya kucheza mechi 5 mchezo wake uliopita ilipata…
BEKI wa Yanga, Dickson Job amesema kuwa furaha kubwa kupata ushindi dhidi ya Al Hilal inawekwa kando sasa nguvu kubwa ni kuelekea mchezo wao wa kimataifa dhidi ya MC Alger. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic ipo nafasi ya tatu kwenye kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika ni pointi 7 imekusanya inatarajiwa kumenayana na…
Kupitia Meridianbet utakutana na mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoelezea kisa cha Farao aliyelaaniwa kwa matendo yake, unachopaswa kufanya ni kuwa mkali kwa kucheza vizuri ni njia sahihi kukupa ushindi mkubwa. Jisajili Meridianbet ufurahie mchezo huu. The Cursed King ni mchezo wa kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zna mistari 19 ya malipo. Ili kupata…
WAKATI kiungo Feisal Salum maarufu kama Fei Toto akiwa anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Simba na Yanga, uongozi wa Azam FC umezua jambo kimtindo kuhusu usajili wa nyota huyo. Ipo wazi kwamba Feisal ni namba moja kwa watengeneza pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo inadhaminiwa na NBC ikiwa ni…
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeifungia klabu ya Simba Sc kuingiza mashabiki kwenye mechi yao ya mwisho ya hatua ya Makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Constantine Jumapili hii Januari 19, 2025. Hii ni kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mchezo dhid ya SC Sfaxien ya Tunisia uliopigwa Desemba 2024 hvyo mechi dhid ya…
KWENYE anga la kimataifa beki wa kazi Che Malone hakuwa na mwendo mzuri katika mashindano hayo ambapo alikuwa akitoa pasi mkaa ukiwa ni mwendelezo wake na bado alikuwa na uhakika wa namba kikosi cha kwanza. Beki huyo ameomba radhi muda mfupi baada ya kutoa pasi mkaa kwenye mchezo dhidi ya Bravos, dakika ya 13.
HABARI ambayo haitapokelewa kwa shangwe na mashabiki wa soka Bongo kutoka Ligi namba sita kwa ubora Afrika ni hii inayohusu Klabu ya Simba. Taarifa rasmi kutoka Simba iliyotolewa na Kaimu Ofisa Mtendaji wa Simba Zubeda Sakuru imeeleza kuwa timu hiyo imepokea maamuzi kutoka Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika, (CAF) kuhusu vurugu zilizotokea kwenye…
Karibu tena kwenye jukwaa la kasino ya mtandaoni, ambapo Meridianbet inakupa fursa ya kufurahia mchezo wa kubashiri wenye utamaduni wa Wahindi wekundu ambao baadae walikuwa ni Wamarekani (Red Indians). Kaa mkao wa shangwe kukutana na Mlimbwende wao ambaye anaweza kukupatia bonasi za kasino za kipekee. “Goddess Of The Night” ni mchezo wa sloti wa kasino…
Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana wewe kutimiza ndoto zako leo?. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Weka dau lako dogo na ujishindie Mamilioni ya maana. Tukianza na SERIE A kule Italia leo ni mechi mbili pekee ambapo Como 1907 baaa ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii…
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola na mkewe, Cristina Serra wameachana baada ya kudumu kwenye mapenzi kwa muda wa miaka 30. Taarifa za ndoa yao kuvunjika, zimetolewa na Kituo cha Habari cha Sport cha nchini Hispania ambapo imeelezwa kuwa wawili hao wamekuwa wakiishi mbalimbali kwa takribani miaka mitano sasa, Guardiola akiishi Manchester, Uingereza na mtoto…
MFUNGAJI Bora wa muda wote wa Timu ya taifa, Taifa Stars Mrisho Khalfan Ngassa yupo nchini Kenya ambaye yeye ni kati watu watakaochezesha droo ya upangaji wa Makundi ya michuano ya Chan mwaka 2024. Kwa Mujibu wa Ngassa alipata mwaliko huo hivi karibuni kutoka Caf, ikimtaka kuwepo katika uchezeshaji wa droo hiyo itafanyika Kenya kesho…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wameweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya MC Alger unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Yanga imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal ikiandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza kupata ushindi kwa Al Hilal ambao ni vinara…
Beki wa kimataifa kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Januari 14, 2025 amewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya likiwemo lililoigharimu Simba Januari 13, 2025 nchini Angola dhidi ya Bravos. Kwenye mchezo huo, Simba ilipata sare ya 1-1 na kuipa nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali. Malone ameandika:…