
MWALIMU AWEKWA KWENYE RADA ZA TIMU KUBWA BONGO
MSHAMBULIAJI namba moja kwa utupiaji ndani ya Fountain Gate ni Suleman Mwalimu ambaye katupia mabao 6 msimu wa 2024/25. Taarifa zinaeleza kuwa Mwalimu amewekwa kwenye hesabu za timu kubwa Bongo ambazo zipo ndani ya tatu bora. Ikumbukwe kwamba mbali na kuwa namba moja kwa Fountain Gate ni namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi kinara…