
CHAMA AKUTANA NA RUNGU LA TFF,MECHI TATU NJE
CLATOUS Chama nyota wa Simba atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars unaotarajiwa kuchezwa kesho Novemba 9,2022 Uwanja wa Liti. Sababu ya nyota huyo kukosekana kwenye mchezo huo ni maamuzi ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ambayo yametolewa kutokana na kikao cha Novemba 4,2022. Kamati imemfungia…