
MGUNDA:WAKATI WA KIBU UNAKUJA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wakati wa kufunga kwa mshambuliaji wake Kibu Dennis unakuja. Nyota huyo msimu wa 2021/22 alikuwa mfungaji bora ndani ya kikosi cha Simba alipotupia mabao 8 kibindoni. Msimu huu hajafunga bao zaidi ya kutoa pasi moja ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons alipompa mshikaji wake Jonas Mkude….