
BECKHAM ATAJWA KUINUNUA MAN UNITED
NYOTA wa zamani wa Manchester United, David Bekham anatajwa kuwa kwenye mpango wa kuinunua klabu. Staa huyo anatajwa kuwa kwenye mchakato wa kuwa kwenye muunganiko na wawekezaji wengine ili kuongeza nguvu na nafasi ya kushinda dili hilo baada ya familia ya Glazers kutangaza kuiweka sokoni. The Glazers waliinunua Man United kwa pauni milioni 790 ilikuwa…