
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA POLISI TANZANIA
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania:- Aishi Manula Gadiel Michael Shomari Kapombe Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Pape Sakho Mzamiru Yassin Moses Phiri Clatous Chama