
BENCHIKA KUTIMKIA MODERN FUTURE YA MISRI
Baada ya kuondoka JS Kabylie Januari iliyopita, kocha wa Algeria Abdelhak Benchikha yuko mbioni kutia saini ya kuifundisha klabu ya Modern Future ya Misri inayoshiriki ligi kuu nchini humo. Benchikha, ambaye tayari amekuwa na uzoefu kadhaa nje ya nchi, hasa Tanzania,Morocco na Qatar, anaweza kujikuta akiwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Modern Future FC ni…