
KMC YAPOTEZA MBELE YA YANGA YAPIGWA 6-1
KLABU ya KMC imepoteza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex baada ya dakika 90 wamepoteza kwa kushuhudia ubao ukisoma KMC 1-6 Yanga. Kiungo mshambuliaji Aziz Ki ambaye ametupia mabao matatu ilikuwa dakika ya 18 kwa mkwaju wa penalti, dakika ya 49 na dakika ya 56…