
AZAM FC MOTO NI ULEULE
MOTO wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala hauzimi kwa kuwashusha waliokuwa namba Simba na sasa wao wapo juu. Baada ya ubao wa Uwanja wa Majaliwa kusoma Namuongo 0-1 Azam FC, pointi tatu wamesepa nazo jumlajumla. Inafikisha pointi 29 baada ya kucheza mechi 13 ndani ya ligi kwa msimu wa 2022/23 na Simba…