TENGENEZA FAIDA UKICHEZA SLOTI YENYE HADHI YA ULAYA

Sloti ya European Roulette Ikiwa na mandhari ya ulaya inakupa urahisi Zaidi wa kupiga mtonyo kwa dau lako uliloweka, ina namba 36 za ushindi hii ni sloti ya European Roulette kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ingia mchezoni kusaka mawindo yako. European Roulette ni moja wa michezo ya kasino ya mtandaoni rahisi na inayopendwa na…

Read More

MAMELODI YAKUBALI KICHAPO LIGI YA MABINGWA

Mamelodi Sundowns imekubali kichapo cha 1-0 dhidi ya wenyeji, Raja Casablanca kwenye mchezo wa raundi ya nne wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika dimba la Larbi Zaouli. FT: Raja AC 🇲🇦 1-0 🇿🇦 Mamelodi Sundowns ⚽ 45+2’ Benamar Timu zote zimemaliza mchezo zikiwa pungufu wachezaji wawili wa Mamelodi Sundowns wakioneshwa kadi…

Read More

MWAMBA FEI TOTO NGOMA NZITO KUSEPA AZAM FC

NGOMA ni nzito kwa nyota wa Azam FC, Feisal Salum kusepa hapo kutokana na dau ambalo linahitajika kuwa zaidi ya milioni 500 kuvunja mkataba wake. Inatajwa kuwa matajiri kutoka Kariakoo ambao ni Simba na Yanga wapo kwenye rada za kuinasa saini ya kiungo huyo ambaye ni namba moja kwa pasi za mwisho Bongo. Ametoa pasi…

Read More

YANGA SIO KINYONGE KUWAKABILI TP MAZEMBE

KUTOKA ligi namba 6 kwa ubora Afrika, Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa taji la ligi msimu wa 2024/25 wamebainisha kwamba wapo tayari kusaka pointi tatu mbele ya wapinzani wao TP Mazembe ambao tayari wameshatua ardhi ya Tanzania ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika mchezo uliopita wa makundi wakiwa ugenini dhidi ya…

Read More

MKANDAJI KIBU D NA UJUMBE WAKE KWA WAARABU

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis amesema kuwa malego makubwa ni kuona wanapata matokeo katika mechi za kitaifa na kimataifa ndani ya uwanja kutokana na ushirikiano uliopo. Kibu ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids ambapo kwenye mechi 15 za ligi ni 11 alipata nafasi ya kucheza akikosekana kwenye mechi 4…

Read More

NUNO SANTOS JMEMDARI NDANI YA NOTTINGHAM FOREST

Kocha mkuu wa Nottingham Forest, Nuno Espirito Santo, ameleta mapinduzi makubwa kwenye klabu hiyo tangu alipojiunga na timu mwanzoni mwa msimu huu. Kwa ustadi wake na uzoefu wake wa kimataifa, Nuno ameweza kubadilisha mfumo wa timu, kuhakikisha inakuwa moja ya timu bora na zinazoshindana katika Premier League. Kwa kuingia kwa Nuno, Forest imeshuhudia mabadiliko makubwa…

Read More

WAKIMATAIFA YANGA TAYARI KUWAKABILI TP MAZEMBE

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika wameweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata matokeo mbele ya TP Mazembe. Katika mchezo uliopita wa makundi wakiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe, Yanga iliambulia pointi moja kwa sare ya kufungana bao 1-1 ikipata pointi kwa mara ya kwanza kwenye hatua za makundi…

Read More

SIMBA KAMILI KUWAVAA WAARABU KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba wameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wao wa hatua ya makundi dhidi ya wapinzani wao SC Sfaxine utakaopigwa nchini Tunisia. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo waliokutana Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 Simba walishinda kwa mabao 2-1 na mtupiaji alikuwa mkandaji Kibu Dennis ambaye yupo…

Read More

ZAMU YA BRAZIL IMEFIKA

Zamu ya Brazil imefika ndivyo ambavyo unaweza kusema kwani kampuni ya Meridianbet ambayo inajihusisha na michezo ya ubashiri duniani ambayo ni sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI) wamefanikiwa kufungua tawi jipya nchini Brazil ambapo watakua wakiendesha shughuli zao za michezo hiyo kama wanavyofanya sehemu nyingine. Ni furaha kubwa sana kwa mabingwa hao wakongwe wa…

Read More

HII HAPA RATIBA YA SIMBA KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania katika anga la kimataifa Simba kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wanakete zao kusaka pointi tatu muhimu. Simba kutoka ligi namba sita kwa ubora Afrika katika Ligi Kuu Bara wanaongoza wakiwa na pointi 40 baada ya kucheza mechi 15. Januari 5 itakuwa SC Sfaxine v Simba, ngoma itapigwa saa 1:00 usiku itakuwa 2025,…

Read More

HII HAPA RATIBA YA YANGA KIMATAIFA

KUTOKA Ligi Kuu Bara namba 6 kwa ubora Afrika, Yanga inaoeperusha bendera katika Ligi ya Mabingwa Afrika na itakuwa na kete 3 2025 kusaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Ni Januari 4 2025 dhidi ya TP Mazembe, Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni katika mchezo uliopita walipokutana Yanga iligawana pointi moja na miamba…

Read More