
YANGA WANAPIGA HESABU ZA ROBO FAINALI
NYOTA wa Yanga Fiston Mayele ameweka waz kuwa watapambana kufanya vizuri kwenye mechi zijazo za kimataifa ili kufikia malengo yao. Timu hiyo Jumanne Februari 28 ilirejea Bongo ikitokea Mali ilipokuwa na mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako. Kwenye mchezo huo ubao ulisoma Real Bamako 1-1 Yanga na kuwafanya wagawane pointi…