
WAARABU WANAKUFA MAPEMA, SIMBA YAWEKA MKAKATI MZITO CAF
WAARABU wanakufa mapema, mastaa Yanga watengewe bil.1.6, Simba yaweka mikakati mizito CAF ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
WAARABU wanakufa mapema, mastaa Yanga watengewe bil.1.6, Simba yaweka mikakati mizito CAF ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Horoya ambayo ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo wa hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Jumamosi hii ya Februari 11, 2023 nchini Guinea. Tayari kikosi cha Simba mapema alfajiri ya leo kilikwea pipa kuwafuata wapinzani wao kikiwa na wachezaji wake…
RAIS wa Yanga, Eng Hersi Said ameitembelea Klabu ya Royal FC inayoshiriki Ligi daraja la tatu kwenye Umoja wa Falme za Kiarabu. Mmoja wa wamiliki wa Royal FC, iliyoanzishwa mwaka huu, Ali Mohammed Bujsaim, miongoni mwa marefa wenye heshima kubwa duniani. Refa huyo ana rekodi ya kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia mara tatu [1994,1998,2022]….
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino akiwa na Mwenyekiti wa Bodi, Salim Muhene baada ya kushiriki moja ya vipindi vinavyoendelea kwenye kozi ya Diploma katika Uongozi wa Klabu inayotolewa na FIFA (Diploma in Club Management). Kozi hiyo inafanyika mjini Tangier, Morocco. Try Again ni mmoja wa wajumbe watatu kutoka Afrika…
MSIKIE Kichuya kona nyota anayekipiga ndani ya kikosi cha Namungo FC inayoshiriki Ligi Kuu Bara
Expanse Studios, mtengeneza programu anayekua kwa kasi zaidi katika michezo ya kasino mtandaoni ambayo mingi unaipata Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, anafuraha kutangaza ushiriki wake ujao katika ICE London 2023. Expo inayoongoza duniani kwa michezo ya kubahatisha. Tukio la kihistoria, litafanyika kwanzia 7-9 Februari 2023 huko ExCeL London, eneo maalum la kuendesha mapato kupitia ufumbuzi wa…
UZINDUZI wa uzi mpya wa Simba wenye nembo ya Visit Tanzania amao utatumika kwenye mechi z kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi
YANGA kama wafalme vile, Sakho arejesha shangwe kambini Simba, hello Jumatano wewe ni Championi usikose nakala yako ipo mezani leo Februari 8,2023
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uzi mpya ambao wameuzindua leo kwa ajili ya mechi za kimatifa ni bora na utaitangaza Tanzania kwenye anga la kimataifa. Mtendaji Mkuu wa Simba Iman Kajuna amesema kuwa wanatambua kuwa Tanzania kwenye sekta ya utalii inafanya vizuri hivyo kuongeza nguvu kwenye kuitangaza kutaifanya izidi kufanya vizuri zaizi na zaidi….
ALLY Kamwe azungumzia ishu ya Morrison/Yanga hawatishiki
ORODHA ya mastaa Simba wanaompa jeuri kocha kimataifa
KUTABIRIKA kwa matokeo hakuna kwenye ulimwengu wa soka kutokana na kila timu kujipanga kwa umakini kupata ushindi. Iwe ni nyumbani ama ugenini kwa sasa kila timu ina nafasi ya kupata matokeo hasa kwenye mechi za kimataifa ambazo ufuatiliaji wake huwa ni kwa ukaribu. Wale ambao hawajaanza maandalizi kwenye mechi za kimataifa kwa sasa kazi ni…
UWANJA ambao Simba itautumia dhidi ya Horoya kimataifa
MSAFARA wa Yanga utakaowafuata wapinzani wao CAF