
MKALI WA MABAO YA MBALI KUWAVAA SIMBA
KUELEKEA Mzizima Dabi mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa wababe hawa wawili kuna mkali wa mabao ya mbali yupo ndani ya kikosi cha Azam FC huenda akawapa tabu wapinzani wao wakikutana ndani ya dakika 90 za kuvuja jasho. Ni Yoro Diaby nyota wa Azam FC anashikilia rekodi yakuwa nyota aliyefunga bao kwa umbali mrefu…