
SAKATA LA KOCHA MPYA YANGA HUYU HAPA ATASHINDA VITA HIYO
SAKATA la kocha mpya Yanga ambaye mabosi wa Singida Black Stars wamebainisha kuwa ameibiwa kwao kwa kutambulishwa bila taarifa huyu hapa huenda atashinda vita hiyo.
SAKATA la kocha mpya Yanga ambaye mabosi wa Singida Black Stars wamebainisha kuwa ameibiwa kwao kwa kutambulishwa bila taarifa huyu hapa huenda atashinda vita hiyo.
CLEMENT Mzize ni mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga katika eneo la utupiaji akiwa amefunga jumla ya mabao 9 kati ya 42 yaliyofungwa na timu hiyo. Mzize anaongoza chati ya watupiaji kwa idadi hiyo akifuatiwa na Elvis Rupia wa Singida Black Stars mwenye mabao 8 kama Ateba wa Simba. Katika mabao 9 Mzize…
ENEO la ushambuliaji litawaangusha Simba kwenye mbio za kuwania ubingwa ikiwa wachezaji watashindwa kuwa makini hasa katika umaliziaji wa nafasi na kutengeneza nafasi. Katika michezo ambayo ameanza Mpanzu ameonekana kuwa na shauku kubwa yakutaka kufunga zaidi ya kutengeneza nafasi za mabao jambo linalowapa ugumu Simba kufunga ndani ya uwanja. Nafasi ambazo wanazipata ndani ya 18…
Cheza kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Kamilisha Januari yako na moja ya Sloti ya kasino nzuri zaidi Meridianbet, Winter Slot Adventure inayokupa nafasi ya kushinda zawadi ya bonasi kubwa kwa dau dogo sana la kuanzia TZS 250/= Winter Slot Adventure inakusubiri kuanzia tarehe 16 Januari 2023 mpaka tarehe 25 Januari 2023! Zawadi ya TZS 7,500,000…
Wikendi ndo hiyo inaenda kuanza, na Meridianbet wanakuuliza kuwa je umejiandaaje kuianza wikendi yako?. Je tayari umeshasuka jamvi lako la kukupatia maokoto? Tukianza na LIGUE 1 kule Ufaransa pia kuna mechi za kukata na shoka ambapo mechi ya mapema ni hii inayowakutanisha kati ya Nantes vs Brest huku tofauti yao ikiwa ni pointi 7 pekee,…
Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA) limetangaza kusimamisha shirikisho la soka la Congo (FECOFOOT), hivyo kupiga marufuku timu ya taifa ya Congo na vilabu kushiriki katika mashindano ya Kimataifa. FIFA ilifafanua kuwa imeamua kusitisha uanachama wa shirikisho la soka la Congo Brazzaville hadi itakapotangazwa tena, kutokana na kuingilia kati kwa Waziri wa michezo wa Congo,…
BAADA ya ubao wa Uwanja wa Tanzanite, Kwaraa kusoma Fountain Gate 1-1 Simba ngoma bado inaendelea kwenye Ligi namba nne kwa ubora Afrika ambapo kuna mechi zinachezwa leo msako wa pointi tatu muhimu. HII HAPA RATIBA YA FEBRUARI 7 Coastal Union v JKT Tanzania, saa 10:00 jioni Singida Black Stars dhidi ya Kagera Sugar, saa…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamemalizana na KMC ndani ya msimu wa 2024/25 kwa kukomba pointi zote sita mazima. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Azam FC walipata ushindi wa mabao 4-0 Uwanja wa KMC Complex na bao la kwanza ndani ya Azam FC kwenye ligi likifungwa na Idd Nado akitumia pasi ya Fei Toto….
Mchezo wa Blackjack Live Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na watenganezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana…
Kupitia mchezo matata wa kasini wa Super Heli wateja wa Meridianbet wanaweza kuokota vya kutosha kutokana na promosheni ya mchezo huo inayoendelea inayofahamika kama Mvua ya kifalme (Royalty Showers). Wakati huu ambao mchezo wa Kasino wa Super Heli umekua kivutio kikubwa kwa wadau wa michezo ya kasino na ndio wakati Meridianbet nao wamekuletea promosheni yao…
SIMBA leo Februari 6,2025 wamebanwa katika dimba la Tanzanite Kwaraa, Babati kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji Fountain Gate Fc waliomaliza wakiwa pungufu ya mchezaji mmoja baada ya golikipa John Noble kuoneshwa kadi nyekundu kwa kupoteza muda. FT: Fountain Gate Fc 1-1 Simba Sc ⚽ 75’ Chasambi (og) ⚽ 57’ Ateba
Kama ulikuwa unadhani umeona vingi au kufanya vingi, basi sahau kabisa bado kuna vingi sana huvijui na leo nakusogezea mchongo ambao huenda unaujua au huujui unahitaji kuufahamu, ni kutoka kasino ya mtandaoni. Kupitia kasino ya mtandaoni kuna sloti ya kupiga hela kirahisi sana, cheza kasino ya mtandaoni mchezo wa Dream Catcher unaokupa nafasi ya kutimiza…
Ft: LIGI Kuu Bara Yanga 6-1 Ken Gold Mabao ya Yanga yamefungwa na: Prince Dube ametupia mabao mawili dakika ya 2, 45. Clement Mzize mabao mawili dakika ya 6, 42 Pacome bao moja dakika ya 38 Duke Abuya dakika ya 85. Suleman Rashid dakika ya 87 DAKIKA 45 mbele ya Ken Gold, Yanga inaongoza kwa…
Kikosi cha Wananchi, Young Africans Sc kinachoanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu bara dhidi ya Ken Gold Fc utakaopigwa katika dimba la KMC Complex. Beki wa kulia, Kibwana Shomari ambaye amekuwa na wakati mzuri tangu ujio wa Sead Ramovic ameanzia benchi muda mfupi tu tangu kuondoka kwa Mjerumani huyo huku nafasi yake ikichukuliwa na Israel…
BURUDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC inaendelea ambapo Februari 5 2025 kuna mechi kali mbili kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu na kivumbi kitaendelea Fenbruari 6 2025. Tabora United v Namungo na Yanga itakuwa dhidi ya Ken Gold hizi mbili ni mechi za Februari 5 2025 kwa wababe kuwa kazini…
WAKALI wa kucheka na nyavu kwenye upande wa Simba wakiwa na majukumu ya mapigo ya penati ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni Leonel Ateba na Jean Ahoua wamepewa asilimia kubwa yakuwa kwenye mwendelezo mzuri wa kupata penalti. Shabiki wa Simba, Banda Jr ameweka wazi kuwa Ahoua ni mjanja na hatakosa penati ndani ya kikosi…